Magazeti
Kusema ukweli ni kwamba ray hawezi kufanya kitu kama hicho kwakua walitoka nae mbali tusiko kujua,ukizingatia walikua maswahiba wakaribu,hata hivyo pia ray alikua juu sana kipesa zaidi ya marehemu,ihitilafu zao ni zakawaida,ila haiwezi kua sababu ya ku mua?kitu hicho siki ungi mkono hata sekunde 0,walikua kama mapacha,kwahio watu semeni madogo yenye maana THE GREATEST ha husiki nakitu hicho...
3 commentaires:
kusema ukweli anacho kisema swahiba The HOT ni ukweli mtupu maana ray hawezi kufanya kitu kama hicho...walikua marafiki sana.
Haswaaaaaa alicho kisema swahiba wangu BUBA THE HOT nichakweli namuunga mkono asilimia mia tano.Jamani RAY hawezi kumuua KANUMBA sababu walikua wakiishi kama mkubwa na mdogo.SGWAMBAYE THE GREAT napinga kitu kamahicho.
kweli kaka zangu,naamini kabisa,skendo hizo hazina swager
Enregistrer un commentaire