vendredi 4 mai 2012
Bongo movie na Buja movie
Vijana watanashati wenye busara na hekima,
Swahiba Steven richard GWAMBAYE kati kati ya dada Iren UWOYA ku na mama.....wamependeza jamani
Swahiba Gwambaye tena na Irene uwoya
jijini bujumbura
NDIKUMANA Danson ni mmoja kati ya wasanii walio fanya vyema kipindi Iren UWOYA,Tino MUYA,Pacho MWAMBA na wasanii walio igiza movie ya CHUPA NYEUSI walikuja nchini burundi kufanya uzinduzi wa movie hio......
Vilevile swahiba kipenzi ni miongoni mwa
wasanii walio fanya vizuri kipindi hicho....
Hapa kwenye picha yuko pamoja na kaka Hissan MUYA (TINO) Jijini Bujumbura
NDIKUMA Danson na Irene
UWOYA
Irene uwoya kwenye pozi lake ki maidoido....
Inscription à :
Articles (Atom)