lundi 23 avril 2012

SKENDO MBOVU

SKENDO MBOVU




 Tatizo la waandishi wetu,ha wa thibitishi kwanza kabla ya ku andika habari zao,si jui wana taka mlo ku pitia majina ya watu?Daaah ili ni uma sana kipindi nilipata hizi habari.Nakumbuka ili kua ijumaa tareh 20/april/2012 majira ya saa mbili asubuh ndipo nilipigiwa simu na ma swahiba wangu wa penzi Steven,Danson na Mox wali kua pamoja mjini kati,waki pata  (breakfast),nilivyo fika mjini  nika nunua gazeti la ijimaa ili ku jua yanayo jiri nchini
ghafla nika ona picha zetu na skendo mbovu....Ma swahiba wali kasirika jamani





1 commentaire:

Ze Hot buba a dit…

hahahahaahahahahha,hizo ni skendo tu hazina uhakika.ni balaaaaa