dimanche 22 avril 2012

Iddy,Danson,Steven

AKIMANA IDDY OMARY,ni mzaliwa wa bujumbura burundi 30/12/1992,mtoto wa tano 5 katika familia yawatoto wa sita 6,mwenye kabila la kirundi.Baba an itwa NGENDANYI Iddy,Mama ana itwaBUTOYI Mwamini,ila baba kwa sasa ni merehemu kwa maana ame kwisha fariki dunia toka mwaka 2005.sisi ni wa umini wa kiislam katika famila yetu.napenda sana michezo ya kila aina,mimi ni mwana sanaa mu igizaji nili anza  sanaa ya uigizaji mwaka 2008 katika kundi la GREAT LAKES,nili maliza secondary school mwaka 2009.

*Na penda sana amani
*Chakula nina cho kipenda ni chapati kwa maharagwe,ugali,nyama
*Na penda rangi NYEUPE
*Ninae mtoto mmja wa kike aitwae AKIMANA Tasnima
*Naongea lugha 4 tofauti: kirundi,kiswahili,kifaransa,ki ingereza



NDIKUMANA DANSON,mzaliwa  wa mwanga kigoma tanzania 02/06/1989.ni mtoto wa pili katika familia ya wa toto wa tano,muumini wa dini ya kiislam.Ni mwana sanaa(muigizaji),ni li anza sanaa ya uigizaji mwaka 2009,kilicho ni vutia ni BONGO MOVIES.Mimi ni bachelor,kauli mbinu nayo itumia ni: AMANI,UPENDO,USHIRIKIANO.
Nie maliza secondary school mwaka 2008.Na penda rangi NYEUPE,NYEUSI,NYEKUNDU.Na penda ku heshimu watu wote;Na penda kula wali kwa maharagwe.
 
 
 
 

STVEN Richard GWAMBAYE,Mzaliwa wa burundi jijini bujumbura.Ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto wa nne(4) kwa upande wa baba,vilevile mtoto wa kumi na tano (15) katika familia ya wa toto kumi na na tisa (19) kwa upande wa mama.Ni muumini wa dhhebu la pentecote.
Ni mwana sanaa MU IGZAJI NA MUIMBAJI.nili anza sanaa ya uimbaji kanisani mwaka 1999 hadi mwaka 2006.nika amua ku acha kutokana na mambo kadhaa...nika nza uigzaji mwaka 2009 mwishoni 2010 mwanzoni kwenye kundi la GREAT LAKES jijini bujumbura.nime vutika sana na msanii maarufu wa maigizo STEVEN Charles KANUMBA ambae ka  ni funza hatua za kwanza kama miezi kadhaa hivi.Na penda sana watu na ku thamini utu.
rangi ninazo penda ni: BLUE,NYEUSI,NJANO NA KIJANI.
mi ni bachela sina mke,mchumba au mtoto.

Aucun commentaire: