lundi 22 juillet 2013

Ftari ya jana

KAKA ABRAHAM ALIPOTUKUTANISHA KATIKA FTARI YA PAMOJA JANA.

 Asante kaka Abraham kwa mungu kukupa moyo na kutukutanisha pamoja maana ni lazma mungu akutunuku kila mtu anatamani kufanya hivi ila mungu ndio anaeweza kumpa mtu ujasili na maamuzi kama haya Inshallah upate malipo mema leo na kesho kiama kwa barka za ramadhani amen.

 Kaka Naaman alijumuika katika ftari.


 Kaka Khamis na Twarib wakijipendelea




 Shekh Yunus hakua nyuma kabisa na jana wote kwa pamoja tulimchagua kua muweka hazina wa mfuko wa sikukuu ya eid tulifanya hivyo sababu anauzoefu na hiyo nafasi.
 Mwamba mdogo
 Mchezaji wa Barca ya moro nae alikuwepo.

 Mrisho
                                 Mjomba JJ na Liban wakichukua chao mapema.
                                 Mwamba mwenyewe

 Wadau msishangae ujazo wa sahani yangu na hapo nilirudi mezani mara mbili tena.Kiukweli mimi na kula tunapendana sana na mapenzi yetu na chakula hayatoisha na ukizingatia jana swaum ilinishika sana niliipania ftari.

 Kaka Said nae akiwajibika katika ftari
 Kaka Mweneu  huyu jamaa ndio aliopatwa na mtihani wa kufiwa na mdogo wake South africa na tulijaaliwa kumfanyia dua baada ya ftari.
 Upande wa kina mama na watoto nao wakipata Ftari safi sana wazazi kwa kuongoza vyema katika msimamo wa dini huku ugenini najua si kazi ndogo ila mimi nawaombea mungu awaongezee ujasili wa kuwasimamia vijana wetu katika kufata maadili ya kidini.Amen

                          Dadaa na mdogo wake
 kua mtulivu wakati wa kula ukimaliza unaweza kuongea hata dini yetu inatuambia hivyo.

 Sachimoo na Khamis wakiteta huku ftari inaendelea
 Muongozo wetu huu wa hapa Stockholm Shekh juma nae aliudhulia
 Watu wa London nao walipanda ndege kuitikia wito wa ftari Stockholm sasa mimi ninaepanda bus kwanini nishindwe kwenda kumpa thawabu alietuandalia ftari.Hapa wakishow love baada ya ftari

Wandugu wakipata picha ya pamoja baada ya ftari na ndio walikua wapishi wakuu wa ftari yetu jana mungu atawalipa kwa kujitolea kwa ajili yake amen.

jeudi 2 mai 2013

Hii ndio tofauti kati yangu na Diamond Platnum





Wanao ni fananisha na Diamond Platnum wana kosea sana,koz hata our appiarence ni tofauti kabisa labda ubin adam na jinsia.Diamond yeye ni mpana than me then ni brown color mimi ni black color

mercredi 23 mai 2012

WITHOUT YOU

Mashabiki,kaeni mkao wa kula,hii ni muvu ambayo ina tetemesha,bado ipo studio haijaruhusiwa.
Muvu hii imesheheni wasanii mahiri,wenye talenti ya hali ya juu,kama mnavyo jua mambo ya BUBA THE HOT,be read for any time,iki ruhusiwa ntawadokeza....

jeudi 17 mai 2012

mardi 15 mai 2012

About Me

My name is RUKUNDO Abubakar Kevin,i was born on 14/feb/1991in Bujumbura.my nationality is Burundian.My father'sname is ABDUL AZIZ Ramadhan,he is tanzanian
My mother's name is NDAYISABA Saidati she is Burundian same  as me.

i began art in 2010,i've an experience of 2 years.I was trained for a short time by Steven Charles KANUMBA
when he came in Bujumbura with Irene UWOYA in 2010

*I'm able to give instuction to actors and other people working on film.
*I'm able to perfom in a play or a film.
*I'm able to write the stories for films
  




                                                                   CONTACT ME




Phone number: +257 79 69 13 44 or  +257 75 36 17 33
E-mail: bubabuba@gmail.com
Po.box:6335 kindo Bujumbura Burundi

vendredi 11 mai 2012

Magazeti

Kusema ukweli ni kwamba ray hawezi kufanya kitu kama hicho kwakua walitoka nae mbali tusiko kujua,ukizingatia walikua maswahiba wakaribu,hata hivyo pia ray alikua juu sana kipesa zaidi ya marehemu,ihitilafu zao ni zakawaida,ila haiwezi kua sababu ya ku mua?kitu hicho siki ungi mkono hata sekunde 0,walikua kama mapacha,kwahio watu semeni madogo yenye maana THE GREATEST ha husiki nakitu hicho...

vendredi 4 mai 2012

Bongo movie na Buja movie



                                                                                          Vijana watanashati wenye busara na hekima,
 Swahiba Steven richard GWAMBAYE kati kati ya dada Iren UWOYA ku na mama.....wamependeza jamani





















                                                                                                   Swahiba Gwambaye tena na Irene uwoya
                                                                                                                 jijini bujumbura

 NDIKUMANA Danson ni mmoja kati ya wasanii walio fanya vyema kipindi  Iren UWOYA,Tino MUYA,Pacho MWAMBA na wasanii walio igiza movie ya CHUPA NYEUSI walikuja nchini burundi kufanya uzinduzi wa movie hio......


 Vilevile swahiba kipenzi ni miongoni mwa
wasanii walio fanya vizuri kipindi hicho....
Hapa kwenye picha yuko pamoja na kaka Hissan MUYA (TINO) Jijini Bujumbura

















                                                                                                       NDIKUMA Danson na Irene
                                                                                                            UWOYA
Irene uwoya kwenye pozi lake ki maidoido....